Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wananzengo nimeona mtandaoni barua toka Canada, Mtanzania akimlilia Dr Ndugulile:
FROM OTAWA...........................Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini ?
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.
Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully.
Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.
Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.
Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania.
Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure, those are not places to go. Bora uende hapo MNH.
Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be, sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.
wanajua wazi Watanzania wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sana ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !
Kama mnawakatishana uhai je?
Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sana, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.
Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly, international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, poleni tena sana!
RIP DR NDUGULILE
PIA SOMA
- TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia