zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Watakufa km kumbikumbiSerikali ipige marufuku kwa viongozi kwenda kutibiwa nje ilihali Serikali imefanya juhudu kubwa kuziboresha hospitali za ndani kama pale Ligula Mtwara, Meta Mbeya, Amana, nk kiasi cha kufikia 1st class.