TANZIA Buriani msanii H.Mbizo mzee wa Nilonge Nisilonge

Alituburudisha na ile hit song yake kipindi kile, alale mahali pema
 
Tafuta namba sahihi ya wahusika hii ni scam watu wataibiwa na hela haitowafikia walengwa wanaondesha msimba


Rip
Sio scam jombaa, mpigie huyo msanii mwenzao umuulize na hiyo namba kaisajili kwa jina lake halisi. Siwezi kuleta mambo ya kipuuzi humu, nawaheshimu sana.
 
Unajua tena mtu ukipendwa na mapozi hayaishi 🔥

R. I. P champ
 
Kwa iyo Adam juma ndo katoa buku Tano...
 
Mkuu ushaona fursa 😂
 
namfahamu huyu H.MBIZO alikua jirani yetu kipindi nakaa pale magomeni kwa bonge ilikuwa ni lazima nikutane nae kila siku ways back 2004 kwani nyumba tuliyokua tunakaa kulikuwa na msanii mwenzake aliekua anaitwa SALUM... H.MBIZO Alikua mcheshi sana kwakweli, alikua anazoeleka na hakuwa na majivuno kabisa mwenyezi MUNGU amuhifadhi mahali pema peponi
 
Michango ya maceleb wetu mbona haiendani na hadhi zao, wapi Steve Nyerere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…