TANZIA Buriani msanii H.Mbizo mzee wa Nilonge Nisilonge

TANZIA Buriani msanii H.Mbizo mzee wa Nilonge Nisilonge

Alituburudisha na ile hit song yake kipindi kile, alale mahali pema
 
Tafuta namba sahihi ya wahusika hii ni scam watu wataibiwa na hela haitowafikia walengwa wanaondesha msimba

Rip
Sio scam jombaa, mpigie huyo msanii mwenzao umuulize na hiyo namba kaisajili kwa jina lake halisi. Siwezi kuleta mambo ya kipuuzi humu, nawaheshimu sana.
 
TANGAZO...

Habari za muda huu, mwanamuziki mwenzetu H-MBIZO amefariki dunia

Hivyo basi kama ulivyo utamaduni wetu kushirikiana kwenye shida na raha nakaribisha michango kwa namba ya Airtel money 0692 421907 Jina litatokea Hamadi Seleman ( HamaGuy )

HATA KIDOGO KITAWAFUTA MACHOZI WAZAZI WAKE

1.Adam juma 10,000/=
2.Mr Tz 20,000/=
3.Ebreezy ( Ibra Max ) 20,0000
4.Matonya 5,000/=
5.Sam Mapesa 5,000/=
6.Banana Zorro 10,000/=
7.Jhiko man 10,000/=
8.
9.
10.
Kwa iyo Adam juma ndo katoa buku Tano...
 
Mkuu ushaona fursa 😂
 
namfahamu huyu H.MBIZO alikua jirani yetu kipindi nakaa pale magomeni kwa bonge ilikuwa ni lazima nikutane nae kila siku ways back 2004 kwani nyumba tuliyokua tunakaa kulikuwa na msanii mwenzake aliekua anaitwa SALUM... H.MBIZO Alikua mcheshi sana kwakweli, alikua anazoeleka na hakuwa na majivuno kabisa mwenyezi MUNGU amuhifadhi mahali pema peponi
 
TANGAZO...

Habari za muda huu, mwanamuziki mwenzetu H-MBIZO amefariki dunia

Hivyo basi kama ulivyo utamaduni wetu kushirikiana kwenye shida na raha nakaribisha michango kwa namba ya Airtel money 0692 421907 Jina litatokea Hamadi Seleman ( HamaGuy )

HATA KIDOGO KITAWAFUTA MACHOZI WAZAZI WAKE

1.Adam juma 10,000/=
2.Mr Tz 20,000/=
3.Ebreezy ( Ibra Max ) 20,0000
4.Matonya 5,000/=
5.Sam Mapesa 5,000/=
6.Banana Zorro 10,000/=
7.Jhiko man 10,000/=
8.
9.
10.
Michango ya maceleb wetu mbona haiendani na hadhi zao, wapi Steve Nyerere?
 
Back
Top Bottom