balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Pole wafiwa, ndugu, Jamaa, marafiki na taifa kwa ujumlaKwa wale waliomaliza chuo kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 2004 hasa kitivo cha elimu mlisoma naye,waliomaliza Jitegemee sekondari kuanzia 2001 mtakuwa mnamfahamu.Wale wa kazi maalum mtakuwa mnamfahamu fika pia.Jamaa alipata changamoto za kiafya na hatimaye usiku wa tarehe 3/9/2022 ikawa ndiyo mwisho wa maisha yake hapa duniani.Mavunde alitoa mchango wake katika kulitumikia taifa akiwa mwalimu wa SoMo la historia.Naomba Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na amuweke pale anapostahili.Kwa heri rafiki.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
r.i.p fundi wa history.Necta wenyewe wanamuelewa huyu mtabe!Kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 2004 hasa kitivo cha elimu mlisoma naye. Waliomaliza Jitegemee sekondari kuanzia 2001 mtakuwa mnamfahamu.
Wale wa kazi maalum mtakuwa mnamfahamu fika pia. Jamaa alipata changamoto za kiafya na hatimaye usiku wa tarehe 3/9/2022 ikawa ndiyo mwisho wa maisha yake hapa duniani.
Mavunde alitoa mchango wake katika kulitumikia taifa akiwa mwalimu wa somo la historia. Naomba Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na amuweke pale anapostahili.
Kwa heri rafiki.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kumbuka hakuwa mwajiriwa wa necta,aliajiriwa Jitegemee na baadaye serikalini huko Mkuranga.Alipoacha mkuranga alibaki Jitegemee ambapo baada ya kuumwa walimlipa stahiki zake basi akaacha kazi.Necta alikuwa alienda kama walimu wengine.r.i.p fundi wa history.Necta wenyewe wanamuelewa huyu mtabe!
wakati naingia jite advance kuna mtu akanitonya jamaa unande/kazi maalum.
kama ni hivyo mbona walimtelekeza huko kibaha akiishi katika miserable life?
sizungumzii jite na mkuranga.Kumbuka hakuwa mwajiriwa wa necta,aliajiriwa Jitegemee na baadaye serikalini huko Mkuranga.Alipoacha mkuranga alibaki Jitegemee ambapo baada ya kuumwa walimlipa stahiki zake basi akaacha kazi.Necta alikuwa alienda kama walimu wengine.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kazi maalum wanakulipa kufanya jukumu Fulani maalum,bila hiyo hawakutambui.Alivyoshindwa kwenda kazi maalum wao wakaachana naye.sizungumzii jite na mkuranga.
nazungumzia kazi maalum/unande mbona walimtelekeza mpaka kodi ikawa kizungumkuti?
Hakuwa kazi maalum,Ila alionekana kama kazi maalum kwa kuwa alikuwa anapeleka taarifa Kama zikiwepo.Kazi maalum ni ajira kamili ya serikali.hawakutambui.Alivyoshindwa
Alitumika vibaya na alitumia muda wake vibaya. RIP MavundeHakuwa kazi maalum,Ila alionekana kama kazi maalum kwa kuwa alikuwa anapeleka taarifa Kama zikiwepo.Kazi maalum ni ajira kamili ya serikali.
INFORMER WA KUJITEGEMEA!Hakuwa kazi maalum,Ila alionekana kama kazi maalum kwa kuwa alikuwa anapeleka taarifa Kama zikiwepo.Kazi maalum ni ajira kamili ya serikali.