TANZIA Buriani mwalimu Florence Michael Mavunde

TANZIA Buriani mwalimu Florence Michael Mavunde

Mbona watu wa humu siyo waelewa? Hakuwa informer na Wala hakuwa na issue hizo.Alifanya kazi maalum kwa muktadha wa kazi ya ualimu.Mna nini lakini?
 
Kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 2004 hasa kitivo cha elimu mlisoma naye. Waliomaliza Jitegemee sekondari kuanzia 2001 mtakuwa mnamfahamu.

Wale wa kazi maalum mtakuwa mnamfahamu fika pia. Jamaa alipata changamoto za kiafya na hatimaye usiku wa tarehe 3/9/2022 ikawa ndiyo mwisho wa maisha yake hapa duniani.

Mavunde alitoa mchango wake katika kulitumikia taifa akiwa mwalimu wa somo la historia. Naomba Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na amuweke pale anapostahili.

Kwa heri rafiki.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
R I P Mwalimu
 
Back
Top Bottom