kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Tukiwa watoto tulipokuwa tukijisomea kwa kukoka moto wa Kuni na vibatali kupata mwanga tulikuwa tunaambiwa huko mwanga na usangi kwao Cleopa Msuya umeme umesambazwa hadi migombani, kwenye mikahawa na unawaka hadi kwenye mazizi ya nguruwe . Kwakuwa sisi tulikuwa hatujafika huko Mwanga tulikuwa tukishangaa sana kusikia milimani Kuna umeme na maji mengi ya bomba wakati kwetu ambako ni tambarare hakuna umeme na maji mpaka Samia ndiyo aje kutuletea umeme baada ya miaka mingi kupitia.
Ukweli habari hiyo ilitufanya sisi watoto wa kwetu hasa wanafunzi tumchukie David Msuya. Sijui ulikuwa utoto au tulistahili kumchukia.
Lakini kwakuwa marehemu hawezi kujitetea basi tumemsamehe kabisaaa. Punzika kwa amani babu.