TANZIA Buriani Paul Buchira Katamuzi - (CATAUX Computer. co)

TANZIA Buriani Paul Buchira Katamuzi - (CATAUX Computer. co)

ukisearch humu ilo neno Cataux utaona kuwa kuna account nyingi zilikuwa zinaizungumzia pia sasa ni vigumu sana kujua kuwa nani ni paul na nani sie....kiukweli sijui account aliyokuwa anaitumia....ila natamani kuijua pia kwani mara nyingi akupenda sana kuiweka wazi kwangu
Ana undugu na paul pogba
 
Sikumbuki ni mwaka gani hasa, ila nilishawahi kwenda pale ofisini kwake kama mara mbili hivi, hata nilimtania kwamba naona yuko vizuri baada ya kuona amechukua room 2 pale na kuziunganisha badala ya 1 kama wenzake wanaomzunguka.
Apumzike kwa amani, natoa pole kwa familia, marafiki na wote tunaomjua. [emoji1488]
 
Back
Top Bottom