vickboy.com
Member
- Jul 29, 2013
- 85
- 23
Hatimae chuo cha st.joseph songea kufungwa kwa muda usiojulikana kutokana na kutokidhi vigezo vya chuo kikuu. uamuzi huo umetolewa na uongoz wa mkoa baada ya wanafuz kugoma leo ikiwa siku ya 2 kutokana na matatizo yanayowakumba wanafuz hao pamoja na vitendo vya kiunyanyasaji na vitisho wanavyotoa wahindi dhidi ya wanafuz pamoja na kusoma kozi zisizotambulika na tcu.