Buriani st. Joseph Songea!

Buriani st. Joseph Songea!

vickboy.com

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
85
Reaction score
23
Hatimae chuo cha st.joseph songea kufungwa kwa muda usiojulikana kutokana na kutokidhi vigezo vya chuo kikuu. uamuzi huo umetolewa na uongoz wa mkoa baada ya wanafuz kugoma leo ikiwa siku ya 2 kutokana na matatizo yanayowakumba wanafuz hao pamoja na vitendo vya kiunyanyasaji na vitisho wanavyotoa wahindi dhidi ya wanafuz pamoja na kusoma kozi zisizotambulika na tcu.
 
vyuo vyenu hivyo vya kata vinatuaibisha nchi yetu,karibu UDSM tunakomaa na kitabu afu mambo mengine yanaendelea vizuri sana
 
vyuo vyenu hivyo vya kata vinatuaibisha nchi yetu,karibu UDSM tunakomaa na kitabu afu mambo mengine yanaendelea vizuri sana

cha ajabu sasa kawambwa alikuwa mgeni rasmi kweny mahafar yaliyofanyika mwez wa 9 mwaka jana matatizo yote hayo inamaana hakuyaona! kweli hawa ndo viongoz mzigo! chuo tunafinywa, makwez, matus, kuitwa majina kama primary, wanawake marufuku kuzaa wakiwa masomoni jamani hata tuseme watanzania wamezid kulalamika this is too much!!!
 
Sikuhizi hata shule za msingi nazo ni vyuo vikuu! Loh! Majanga!
 
hicho chuo hakina hadhi jana nimeangalia majengo yake mpaka nimeogopa
 
cha ajabu sasa kawambwa alikuwa mgeni rasmi kweny mahafar yaliyofanyika mwez wa 9 mwaka jana matatizo yote hayo inamaana hakuyaona! kweli hawa ndo viongoz mzigo! chuo tunafinywa, makwez, matus, kuitwa majina kama primary, wanawake marufuku kuzaa wakiwa masomoni jamani hata tuseme watanzania wamezid kulalamika this is too much!!!

umenichekesha sana mkuu, sasa wewe mtu anakufinya wewe unamuangalia tu wewe huna kucha?
 
Mbona Dmi-Dar hawafanyi hvyo! Kwanini wasiendeshe mambo yao kama chuo mama Dmi Dar es salaam?
 
kufungwa kwa muda usiojulikana kutokana na kutokidhi vigezo vya chuo kikuu. uamuzi huo umetolewa na uongoz wa mkoa. Naomba ufafanuzi, je uongozi wa mkoa unajua sifa za chuo? Au, je TCU wamegatua mamlaka mikoani? Naomba ufafanue kama msomi.
 
Back
Top Bottom