Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I think it's vise versa.Msijali sahivi Zanzibar ni koloni la Tz bara tutaendelea kuwatawala kwa haki
Kisha baada ya kuwinda na kukamata hao nguruwe walienda kuwaala na kuburudika kupitia nyama tamu ya nguruwe na pombe.Stux
Stux...
Kuwinda nguruwe ilikuwa kitu cha kama burudani mfano wa watu huku kwenda porini kuwinda swala.
Linatoka kundi kubwa kuingia porini na kuanza kusaka nguruwe.
Kwahiyo ana 100 maana 2024-1924=100Faana,
Mimi nilikosea kuandika.
Kazaliwa 1924.
Much...Malengo ya TANU kuisapoti ASP yalikuwa yapi?
Fainali ...Kwa hiyo unataka kusema Kitabu cha Ghassanry ndio Ukweli pekee na Historia nyingine yoyote ni Uongo
Mtu mwema au ufalme utokanao na watu kamwe hauwezi pata upinzani au mapinduzi kutoka kwa watu wake.
Ukiona ufalme umepinduliwa jua ni ufalme aliojipa madaraka wenyewe,umeua na kuumiza,umeleta madhira kwa watu hadi watu wakauchoka na kuamua kuleta mapinduzi.
Huyo sultan ni moja kati ya watawala walio umiza sana wazanzibar kwa kuwafanya watumwa katika nchi yao,wakati huo yeye sio mzawa halisi wa visiwa hivyo bali ni uzao wa watesi kutokea omani.
Daima mapinduzi matukufu ya enziwe kutoa utawala haramu wa sultani.
Fainali...Embu tuelezee ushiriki wa Kanali Ali Mahfuodh katika Mapinduzi hayo,kwanini alikwenda Cuba kupata mafunzo makali na kukubali kuumia tena kwa hiari yake mwenyewe wakati Zanzibar kulikuwa na Raha na hakukuwa na ubaguzi au udharimu wa hao masultani?
Mtu mwema au ufalme utokanao na watu kamwe hauwezi pata upinzani au mapinduzi kutoka kwa watu wake.
Ukiona ufalme umepinduliwa jua ni ufalme aliojipa madaraka wenyewe,umeua na kuumiza,umeleta madhira kwa watu hadi watu wakauchoka na kuamua kuleta mapinduzi.
Huyo sultan ni moja kati ya watawala walio umiza sana wazanzibar kwa kuwafanya watumwa katika nchi yao,wakati huo yeye sio mzawa halisi wa visiwa hivyo bali ni uzao wa watesi kutokea omani.
Daima mapinduzi matukufu ya enziwe kutoa utawala haramu wa sultani.
ye ni nani kwangu mimi mtanzania
Hakuna nchi ilyoitwa na inayoitwa Tanzania bara , kuna nchi inayoitwa Tanganyika iliyojivalisha koti la TanzaniaMsijali sahivi Zanzibar ni koloni la Tz bara tutaendelea kuwatawala kwa haki
Japo Mimi naona kuna uhusiano mkubwa haswa kidini lakini pia inabidi tu kujiuliza kama mapinduzi ya Zanzibar ni kweli lilikuwa hitaji la wazanzibari na kwa sababu gani. Je wabantu wa Zanzibar kwa kipindi hicho walipitia nini kwa sababu kwa maneno makavu itakuwa ngumu sana kuwaamini wazanzibari kitu kingind
Kwa hiyo utawala wa kisultan ulikuwa hauna dhuluma, mauaji, mateso au uonevu wowote kama mzee Mohamed Said alivyosema?
cc
Proved
Faana,Huyu mzee unaweza kusikia anasema alikuwepo kwenye mapinduzi matukufu
Utumwa wa kifikra ni mbaya sana kuliko hata kufungwa minyororoHuyu Mzee kila siku anamdisi Mwalimu Nyerere aliyeongoza harakati za uhuru wetu, ila huyu hapa anamsifia Sultani aliyepinduliwa kwa kuwanyima haki za kisiasa n.k wazanzibar.
Kisa na mkasa; Dini.
Huyo Jamshid adhabu Kali inamhusu yeye na mababu zake Kwa kutoka kwao Oman na kuja kutawala nchi ya watu wengine alaaniwe
Kuna methali inasemaKuna sehemu ninatanzika kidogo!
Bila shaka sultani alikuwa muislamu...
Sasa iwaje awinde nguruwe? Au lengo lilikuwa ni genocide kwa nguruwe hao?
Niwie radhi ndugu yangu, yote niliyokukwaza nayo uyafute na kuyachukulia utaniFaana,
Jitulize tuwe na mjadala wa heshima sote tunufaike.
Kejeli hapa si mahala pake.
Mimi sikuwapo katika mapinduzi lakini nilikuwa katika utafiti wake.
Nimejifunza mengi.
Ninaweza nika-share niliyojifunza na ndugu zangu hapa jamvini na sote tukanufaika.
Sasa nimeelewa kwanini waswahili walitupa methali hii:Stux
Stux...
Kuwinda nguruwe ilikuwa kitu cha kama burudani mfano wa watu huku kwenda porini kuwinda swala.
Linatoka kundi kubwa kuingia porini na kuanza kusaka nguruwe.
Utumwa wa kifikra ni mbaya sana kuliko hata kufungwa minyororo