Buriani Zackaria Hanspope

Buriani Zackaria Hanspope

Tusisahau kua huyu mzee alikua amechanja na bado covid imeondoka nae. Utasikia ngonjera za ukichanja inapunguza maumivu ama kulazwa ama vifo, sasa huyu mzee kafariki vipi na alikua amechanjwa?

Nimeona chats zake na Msingwa msemaji wa serikali akilalamika kwamba ugonjwa unatesa sana huku wataalam wa chanjo wanakwmabia ukichwanjwa hutateseka.View attachment 1932771Msigwa alikuwa hana ulazima wa kuzitoa hizi chat zake na marehem.
 
Hiyo mahujiano ya efm aliyafanya akiwa hospitali ama kabla hajaenda hospitali? Unajua alichanja lini? Huna akili kabisa.
Yaani wa bongo mmeleta ushabiki wa mpira na wasiasa kwenye chanjo. Chanjo ni suala la kisayansi. Huwezi okotezaokoteza points huku na huko.

Lakini mmeligeuza kuwa ushabiki waliochanja dhidi ya wasiochanja. Ni ujinga mkubwa sana.
 
Hiyo mahujiano ya efm aliyafanya akiwa hospitali ama kabla hajaenda hospitali? Unajua alichanja lini? Huna akili kabisa.
Kwenye mahojiano hakuna sehemu Hans kazungumzia kuchanjwa au kutochanjwa. Rudi kasikilize tena unajiabisha tu hapa
 
Kwenye mahojiano hakuna sehemu Hans kazungumzia kuchanjwa au kutochanjwa. Rudi kasikilize tena unajiabisha tu hapa
Kwani baada ya mahojiano mtu hawezi kuchanjwa? Kwani chanjo inahitaji maandalizi ya mwaka, si masaa tu? Unashindwa kuelewa nini hapo mkuu.
 
Tusisahau kua huyu mzee alikua amechanja na bado covid imeondoka nae. Utasikia ngonjera za ukichanja inapunguza maumivu ama kulazwa ama vifo, sasa huyu mzee kafariki vipi na alikua amechanjwa?

Nimeona chats zake na Msingwa msemaji wa serikali akilalamika kwamba ugonjwa unatesa sana huku wataalam wa chanjo wanakwmabia ukichwanjwa hutateseka.View attachment 1932771
Wakati uviko umeniweka kitandani wiki 5 huyu mzee nae nikasikia anaumwa, hata siamini nimeponaje na huyu mzee ambaye alikuwa anapata huduma bora kuliko mimi ameenda, kiukweli delta imenitesa na hata siaminj nimeponaje, nimepita kwenye bonde la utuli wa mauti.
 
Yaani wa bongo mmeleta ushabiki wa mpira na wasiasa kwenye chanjo. Chanjo ni suala la kisayansi. Huwezi okotezaokoteza points huku na huko.

Lakini mmeligeuza kuwa ushabiki waliochanja dhidi ya wasiochanja. Ni ujinga mkubwa sana.
Kwenye maandishi yangu kuna mahala nimezungumzia mpira ama kuweka ushabiki wa mpira?

Wewe aliekwmabia mimi nashabikia mpira ni nani? Ama umekua mke wangu na msemaji wangu ambae ananijua vizuri?
 
Kwani baada ya mahojiano mtu hawezi kuchanjwa? Kwani chanjo inahitaji maandalizi ya mwaka, si masaa tu? Unashindwa kuelewa nini hapo mkuu.
Kwahiyo unakubali kwamba kwenye mahojiano hakuna sehemu Hans kasema alishachanja kama uzi wako unavyodai?
 
Naomba kuuliza mkuu hivi huyu Hans pop ndiye Yule anayetajwa kwenye kesi ya uhaini ya mwaka 1982?
 
Wewe kama ni muerevu, pitia taarifa za nchi zilizochanja vizuri kama Israel na hata Uingereza... China pia ugonjwa ulikoanzia...Utapata majibu ya ngonjera hizo...
Pitia hata taarifa za Cuba.. Itakusaidia...

Nashindwa kuelewa baadhi yetu... Kwani Malaria, pamoja na kuwepo madawa kibao, hakuna wanaokufa kwa Malaria?
Au mbona inafikia hatua hadi watu wanapasuliwa lakini bado wanakufa.
 
Back
Top Bottom