Tusisahau kua huyu mzee alikua amechanja na bado covid imeondoka nae. Utasikia ngonjera za ukichanja inapunguza maumivu ama kulazwa ama vifo, sasa huyu mzee kafariki vipi na alikua amechanjwa?
Nimeona chats zake na Msingwa msemaji wa serikali akilalamika kwamba ugonjwa unatesa sana huku wataalam wa chanjo wanakwmabia ukichwanjwa hutateseka.View attachment 1932771Msigwa alikuwa hana ulazima wa kuzitoa hizi chat zake na marehem.
[emoji23][emoji23]Na nyinyi sasa acheni kutuchosha na huyo allah wenu. Yaani mnataka tusinywe hata maji!! Huyo allah wenu ana nguvu kuliko huyu tunaye mwabudu sisi?
Yaani wa bongo mmeleta ushabiki wa mpira na wasiasa kwenye chanjo. Chanjo ni suala la kisayansi. Huwezi okotezaokoteza points huku na huko.Hiyo mahujiano ya efm aliyafanya akiwa hospitali ama kabla hajaenda hospitali? Unajua alichanja lini? Huna akili kabisa.
Ala anakaa nchi ganihakuna majina makubwa jina kubwa ni allah pekee yake. hayo majina makubwa ni wewe ndio unaona hivyo
Anataka kujifajiri kitendo chake cha kutochanja. Anaokoteza points chanjo ionekane mbaya.Chanjo ni hiari kelele za nini?
Mwongo mkubwa huyu pope hajazungumza kuhusu kuchanja au kutochanja kwenye hiyo interview anayosemaAnataka kujifajiri kitendo chake cha kutochanja. Anaokoteza points chanjo ionekane mbaya.
Kwenye mahojiano hakuna sehemu Hans kazungumzia kuchanjwa au kutochanjwa. Rudi kasikilize tena unajiabisha tu hapaHiyo mahujiano ya efm aliyafanya akiwa hospitali ama kabla hajaenda hospitali? Unajua alichanja lini? Huna akili kabisa.
Kwani baada ya mahojiano mtu hawezi kuchanjwa? Kwani chanjo inahitaji maandalizi ya mwaka, si masaa tu? Unashindwa kuelewa nini hapo mkuu.Kwenye mahojiano hakuna sehemu Hans kazungumzia kuchanjwa au kutochanjwa. Rudi kasikilize tena unajiabisha tu hapa
Wakati uviko umeniweka kitandani wiki 5 huyu mzee nae nikasikia anaumwa, hata siamini nimeponaje na huyu mzee ambaye alikuwa anapata huduma bora kuliko mimi ameenda, kiukweli delta imenitesa na hata siaminj nimeponaje, nimepita kwenye bonde la utuli wa mauti.Tusisahau kua huyu mzee alikua amechanja na bado covid imeondoka nae. Utasikia ngonjera za ukichanja inapunguza maumivu ama kulazwa ama vifo, sasa huyu mzee kafariki vipi na alikua amechanjwa?
Nimeona chats zake na Msingwa msemaji wa serikali akilalamika kwamba ugonjwa unatesa sana huku wataalam wa chanjo wanakwmabia ukichwanjwa hutateseka.View attachment 1932771
Kwenye maandishi yangu kuna mahala nimezungumzia mpira ama kuweka ushabiki wa mpira?Yaani wa bongo mmeleta ushabiki wa mpira na wasiasa kwenye chanjo. Chanjo ni suala la kisayansi. Huwezi okotezaokoteza points huku na huko.
Lakini mmeligeuza kuwa ushabiki waliochanja dhidi ya wasiochanja. Ni ujinga mkubwa sana.
Kwahiyo unakubali kwamba kwenye mahojiano hakuna sehemu Hans kasema alishachanja kama uzi wako unavyodai?Kwani baada ya mahojiano mtu hawezi kuchanjwa? Kwani chanjo inahitaji maandalizi ya mwaka, si masaa tu? Unashindwa kuelewa nini hapo mkuu.
Povu la nini sasa😂😂😂Kwenye maandishi yangu kuna mahala nimezungumzia mpira ama kuweka ushabiki wa mpira?
Wewe aliekwmabia mimi nashabikia mpira ni nani? Ama umekua mke wangu na msemaji wangu ambae ananijua vizuri?
Kupindisha alichoongea mtu uli upate upenyo wa kubisha ni umama.Kwenye maandishi yangu kuna mahala nimezungumzia mpira ama kuweka ushabiki wa mpira?
Wewe aliekwmabia mimi nashabikia mpira ni nani? Ama umekua mke wangu na msemaji wangu ambae ananijua vizuri?
Ni nyalukoro wa Iringa, mhehe.Asante sana kwa dondoo
Hata hilo jina ulilotaja niwew ndio unaona hivyo wengine hawalifahamhakuna majina makubwa jina kubwa ni allah pekee yake. hayo majina makubwa ni wewe ndio unaona hivyo
Sawa bro, jina la Yesu ni jina lipitalo yote, na kwa jina Hilo kila goti litapigwahakuna majina makubwa jina kubwa ni allah pekee yake. hayo majina makubwa ni wewe ndio unaona hivyo
Poleni WanyaluNi nyalukoro wa Iringa, mhehe.
Au mbona inafikia hatua hadi watu wanapasuliwa lakini bado wanakufa.Wewe kama ni muerevu, pitia taarifa za nchi zilizochanja vizuri kama Israel na hata Uingereza... China pia ugonjwa ulikoanzia...Utapata majibu ya ngonjera hizo...
Pitia hata taarifa za Cuba.. Itakusaidia...
Nashindwa kuelewa baadhi yetu... Kwani Malaria, pamoja na kuwepo madawa kibao, hakuna wanaokufa kwa Malaria?