carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Burkina Faso imepitisha Sheria Mpya ya Makosa ya Jinai inayorejesha adhabu ya kifo, ikiwa ni miaka nane imepita baada ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kuifuta sheria hiyo mwaka 2018.
Uamuzi huo umefikiwa Oktoba 20, 2026, mjini Ouagadougou, ambapo wajumbe wote 71 wa Bunge la Mpito la Wananchi walipiga kura ya ndio kuirejesha sheria hiyo.
Sheria hiyo inarejesha adhabu ya kifo kwa makosa kadhaa, ikiwemo ugaidi, ujasusi, usaliti, mauaji na kuingiza nchini humo bidhaa zilizopigwa marufuku au zilizoisha muda wake.Kwa mujibu wa Wizara ya Sheria nchini humo, mabadiliko hayo yanakusudia kuimarisha amani ya umma, kudumisha maadili ya msingi ya taifa na kulinda watu na mali zao.
Burkina Faso imekuwa chini ya utawala wa kijeshi tangu mapinduzi ya mwaka 2022 ambayo yaliongozwa na Kiongozi wa taifa hilo, Kapteni Ibrahim Traore.
=======
Burkina Faso's parliament adopted a revised penal code on Tuesday that restores the death penalty, nearly a decade after the West African country abolished capital punishment, the Justice Ministry said in a statement.
The revised penal code reintroduces the death penalty for crimes including terrorism, espionage, treason and importing expired or banned products that result in death, state-run media reported
The 71-member assembly voted unanimously for the legislation after Justice Minister Edasso Rodrigue Bayala presented the bill on behalf of the government, the ministry said in a statement
Burkina Faso has struggled for years to contain an Islamist insurgency linked to al Qaeda and Islamic State that has killed thousands of people and displaced millions
The government has presented the change as part of its response to that insurgency, putting it at odds with rights groups that say it could be used against critics
Bayala said the relative lenience of the previous penal code helped armed groups recruit members
Human Rights Watch said when the Council of Ministers first approved the bill last year that reinstating the death penalty could deepen repression, entrench a climate of fear and send a chilling message to critics of the military government
Burkina Faso abolished the death penalty in 2018. Its last known judicial execution was in 1988, according to Amnesty International
Chanzo :Reuters