Burkina faso yaanzisha utaratibu wa kurusha mubashara ( live) kesi zinazohusu ubadhirifu/ wizi wa fedha za umma

Burkina faso yaanzisha utaratibu wa kurusha mubashara ( live) kesi zinazohusu ubadhirifu/ wizi wa fedha za umma

Wizi hauwezi kuisha maadam mnaojifanya masikini na kupokea hela za misaada basi mtakuwa majizi tu maana hamuoni uchungu nazo

Huyu dogo anajitahidi kwa nchi yake na anaona hiyo ndio njia nzuri ya kuzuia wizi
Maana ukiiba unawekwa live
Ofcourse hauwezi, but wanachofanya ni kuwafanya kuogopa na iwe ngumu. Knowing watakao attempt, they wont be spared. Wafanye in their own risk
 
Ofcourse hauwezi, but wanachofanya ni kuwafanya kuogopa na iwe ngumu. Knowing watakao attempt, they wont be spared. Wafanye in their own risk
Ila kweli inatia hofu fulani. Jiulize jitu zima una miaka Yako 50 unarushwa live nchi nzima unaulizwa uliiba hiki ndio, hiki hapana. Yaani nimeangalia hizo video hao watuhumiwa wanavyotia huruma wewe wamenywea, wapoleeeee. Kwakweli atakayeiba ataiba huku akijua endapo atafumwa ni aibu ya karne video zinasambaa mitandao yote. Na mbaya zaidi huu ni utawala wa kijeshi haubembelezi kura za mtu, wakiamua kukuganda wanakuganda.
 
Halafu umesomeshea watoto wako mpaka kuwa doctor au lawyers
Utaona wengine wanakunywa na sumu kabisa
 
Ofcourse hauwezi, but wanachofanya ni kuwafanya kuogopa na iwe ngumu. Knowing watakao attempt, they wont be spared. Wafanye in their own risk
Sisi tunajua Mob justice tu ila majizi makubwa hapana
Ila ni njia nzuri sana ya kupunguza wabadhirifu wa mali za Umma
Natamani iwe hivyo kuna watu wanakera sana
 
Cha muhimu kiongozi awe mzuri na mzalendo basi. Thomas Sankara alikuwa mjeda na alifanya mambo mazuri kwa muda mfupi ndio maana Ufaransa wakatumia mtu kumuua. Lakini pia kuna mifano mingine ya viongozi wanajeshi walionyonya nchi kama Mobutu na wengineo. Kwahiyo binafsi nawatakia heri. Kama anafanya kazi nzuri sio lazima atoke hata Angela Merkel aliongoza nchi kwa miaka karibu 20.
Inategemea huyo aliingia madarakani aliingia kwa leongo gani! Mobutu alikuwa kibaraka wa Wabelgiji, Amini alikuwa na tamaa ya madaraka ingawa alikuwa na mazuri yake ambayo hatutaelezwa kwani vyombo vya habari vingi vinamilikiwa na wenye maslahi yao. Wenye D mbili watakuwa wameelewa.
KWA UJUMLA VIONGOZI WAZALENDO WANAUAWA SANA AFRICA NA PENGINE DUNIANI KWA UJUMLA KWANI WAOVU WANA NGUVU SANA NA MITANDAO YAO IMEENEA KOTE DUNIANI.
 
Back
Top Bottom