Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ofcourse hauwezi, but wanachofanya ni kuwafanya kuogopa na iwe ngumu. Knowing watakao attempt, they wont be spared. Wafanye in their own riskWizi hauwezi kuisha maadam mnaojifanya masikini na kupokea hela za misaada basi mtakuwa majizi tu maana hamuoni uchungu nazo
Huyu dogo anajitahidi kwa nchi yake na anaona hiyo ndio njia nzuri ya kuzuia wizi
Maana ukiiba unawekwa live
Ila kweli inatia hofu fulani. Jiulize jitu zima una miaka Yako 50 unarushwa live nchi nzima unaulizwa uliiba hiki ndio, hiki hapana. Yaani nimeangalia hizo video hao watuhumiwa wanavyotia huruma wewe wamenywea, wapoleeeee. Kwakweli atakayeiba ataiba huku akijua endapo atafumwa ni aibu ya karne video zinasambaa mitandao yote. Na mbaya zaidi huu ni utawala wa kijeshi haubembelezi kura za mtu, wakiamua kukuganda wanakuganda.Ofcourse hauwezi, but wanachofanya ni kuwafanya kuogopa na iwe ngumu. Knowing watakao attempt, they wont be spared. Wafanye in their own risk
Tz tuige🤣🤣🤣🤣Ni jambo jema
Halafu umesomeshea watoto wako mpaka kuwa doctor au lawyersIla kweli inatia hofu fulani. Jiulize jitu zima una miaka Yako 50 unarushwa live nchi nzima unaulizwa uliiba hiki ndio, hiki hapana. Yaani nimeangalia hizo video hao watuhumiwa wanavyotia huruma wewe wamenywea, wapoleeeee. Kwakweli atakayeiba ataiba huku akijua endapo atafumwa ni aibu ya karne video zinasambaa mitandao yote. Na mbaya zaidi huu ni utawala wa kijeshi haubembelezi kura za mtu, wakiamua kukuganda wanakuganda.
Sisi tunajua Mob justice tu ila majizi makubwa hapanaOfcourse hauwezi, but wanachofanya ni kuwafanya kuogopa na iwe ngumu. Knowing watakao attempt, they wont be spared. Wafanye in their own risk
Inategemea huyo aliingia madarakani aliingia kwa leongo gani! Mobutu alikuwa kibaraka wa Wabelgiji, Amini alikuwa na tamaa ya madaraka ingawa alikuwa na mazuri yake ambayo hatutaelezwa kwani vyombo vya habari vingi vinamilikiwa na wenye maslahi yao. Wenye D mbili watakuwa wameelewa.Cha muhimu kiongozi awe mzuri na mzalendo basi. Thomas Sankara alikuwa mjeda na alifanya mambo mazuri kwa muda mfupi ndio maana Ufaransa wakatumia mtu kumuua. Lakini pia kuna mifano mingine ya viongozi wanajeshi walionyonya nchi kama Mobutu na wengineo. Kwahiyo binafsi nawatakia heri. Kama anafanya kazi nzuri sio lazima atoke hata Angela Merkel aliongoza nchi kwa miaka karibu 20.