Burna Boy aijaza Madison Square Garden NY. Ticket sold out

Burna Boy aijaza Madison Square Garden NY. Ticket sold out

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Blog za Naija zinaripoti kwamba Onesho la Burna Boy limeuza tiketi zote 20,789 kwenye ukumbi maarufu wa Madson Square Garden NY kwa Mzee Biden

Swali ninalo jiuliza ni;
Je ni kweli anakubalika sana pande hizo hadi kujaza ukumbi kama akina The Weekend na Drake?
Kama ndio hawa wakina Dangote Bakhresa na King wana kwama wapi?

Au ndio kusema wingi wa Wanaijeria na ndugu zao wa Ghana kwenye diaspora huko USA ndio unao wasaidia sana
Maana nimeona sehemu wanadai 90% ya wahudhuriaji ni wanaijeria na waghana

Chambua....
 
Mkuu wanigeria wapo wengi Sana USA na Uingereza ukilinganisha na raia wa nchi zingine za Africa hiyo inawapafaida kubwa Sana ndio maana unakuta wanapata idadi kubwa Sana ya watu na wengiwao ni wanigeria wenyewe kuna waghana hivi unazani watanzania wapo wangapi USA?
 
Mwaka huu burnaboy amejaza uwanja ufaransa, Netherland na huo Madison
 
Wiki mbili mbili zilizopita huyu mwamba kapiga show mbili Amsterdam na moja Rotterdam zote sold out. Wanaija wamempaisha vibaya mpaka Dunia inamwelewa sasa hivi
 
Back
Top Bottom