Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Burna kumlinganisha na wakina Wiz na Obo ni kuwakosea heshima hao jamaa,sema kuchaguliwa grammy na matuzo ya hapa na pale kusifanye muwakosee heshima Star boy na Davido....narudia tena sio vyema kuwalinganisha Wiz,Obo Vs Burna,he is too small to them.
 

Burnaboy ni haki yake coz ukifatilia history ya afrobeat huwezi acha mtaja Fela kuti na burnaboy anamiondoko kama ya jamaa kwakua babu yake alikua katika bend ya jamaa na ukweli ni kua Burna ana represent sana Africa na nyimbo zake kama Collateral demage, Anybody na style yake ni pure african asee hakuna uzungu mwingi so ana deserve na cha zaidi burna boy ni mzuri wa live bend sana kuliko hawa wasanii wengine kama DAVIDI NA WIZKID wanaotegemea Cd sana
 
Kwahyo amewazidi Kidayo na Obo kwa sasa huku Afrika?
 
huyu jamaa simfahamu kabisa kwakweli naonaga yupo kama sholo mwamba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…