Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Sijui burna boy,wizkid au davido hao viumbe wakali lakini hawamfikii mfalme chibu dangote
 
Nomination ya Grammy haimfanyi kuwa bora kuliko Wizkid na Davido. Tumpe 5 years ili tuone kama ataweza kukaa kwenye peak na style ya nyimbo zake ambazo zinafanana
5 years ?? Burna Boy yupo kwemye game zaidi ya miaka 10 ...au umemjua leo ?
 
Nomination ya Grammy haimfanyi kuwa bora kuliko Wizkid na Davido. Tumpe 5 years ili tuone kama ataweza kukaa kwenye peak na style ya nyimbo zake ambazo zinafanana

Burna hajaanza leo mziki kaka ameanza zamani sana since ana 10 yrz sema wewe ndo umemjua karibuni coz hana mambo ya skendo kama wengine ili kupush mziki
Amekuepo apo juu sinsi zaman sema mass kubwa ilikua haimtambui watakuja wengi wataimba mziki wa dunia ila jamaa atabaki why “ coz ya style yake kua Pure African beat”
 
5 years ?? Burna Boy yupo kwemye game zaidi ya miaka 10 ...au umemjua leo ?

Alikuwa Rapper na ametoka kwa style nyingine ya muziki kwa sasa. Ndio maana nimempa 5 years kama ataweza kaa kileleni mkuu ni sawa na darasa , alikaa miaka mingi kama msanii msindikizaji hadi alipotoka kivingine lakini consistence hakuiweza. Hiki ndicho namaanisha
 
Hahaha mkuu unanipa wakati mgumu Sana ... Umetaja kichwa ambacho huwa nakikubali Sana ...moja ya vichwa ambavyo Africa kmebarikiwa Ni Patoranking....

Patoranking na StoneBway ni tunu ambayo tumebarikiwa Africa kwenye Raga & Dancehall.

Jah'Bless Up
Bro Patoranking ni nyoko sanaaa Jamaaa Anajua Since namuona kwenye Ngoma zake za Kwanza.

Another Level,Make Am,

Such Different,Kid of love, Acha izo kuna mkwaju yupo na Sarkodie wa Ghana hatariii
 
Sijui burna boy,wizkid au davido hao viumbe wakali lakini hawamfikii mfalme chibu dangote
Eti eeeh
IMG_20191121_204656.jpeg
 
Burna Boy ndiye artist number 1 Africa kwa sasa. Ngoma zake ni moto haswaa tena ana hits nyingi kumzidi huyo Wizkid na Davido.

Najua wengi mtabisha lakini huo ndio ukweli. Real is real. Jamaa anajua haswaa.

Kama hauamini kasikilize hii playlist:

1. Check and Balance

2. Ye

3. Gbona

4. Anybody

5. Collateral Damage

6. On the Low

7. Dangote

8. Killin Dem

Unforgetable
 
Bro Patoranking ni nyoko sanaaa Jamaaa Anajua Since namuona kwenye Ngoma zake za Kwanza.

Another Level,Make Am,

Such Different,Kid of love, Acha izo kuna mkwaju yupo na Sarkodie wa Ghana hatariii
Ile No kissing, no touching lile jiwe langu bora la wakati wote.
Bila kuusahau ule wa kwanza na tiwa savage gilie O.
 
Back
Top Bottom