Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Mkuu mwaka huu Hakuna msanii Africa amekuwa na mafanikio makubwa kwa hitsong kwenye label za muziki wa dunia Kama Burna.. Label ya billboard jamaa mwaka huu katishaHit nyingi kuliko Wiz na Davido?? Hapa umeongopa Hao viumbe viwili wana kete nyingi mno kaliii
Naomba uwege evidence za achievement za Davido na Wizkid na Mimi nikuwekee kwa upande wa halafu tulinganishe hapa.