Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 285
- Thread starter
- #141
Mkuu ntajie mambo ma3 tu ambayo Burna Boy kamzidi Wiz. Kwenye mzikiSo disgusting
Kwahiyo wewe ukaelewa Drake anaimba Pop.. Sasa mbona wewe ulimtaja Drake kwenye mada ya wasanii wa African Music inamaana Drake anaitwa African music Kama Burna???
Ok...Sikumaanisha what you mean BTW.