JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii mkuu kabisa wa Africa Burnaboy amepigilia NCHUMALI kwenye bifu la wasanii wa Tz kwa kutupia picha ya msela wake Harmonize akionyesha dole la kati kwenda kwa msanii wa WCB dearmondiplatinumz.
Hali ishakuwa mbaya kwa msanii wetu wa Tandale huku davido anamdai hela ya kumtoa kisanii, kule Burnaboy anatupia picha ya Harmonize na dole la kati.
Hadi tunaenda mitamboni msanii Davido bado hajaonesha screenshot ya muamala toka kwa DiamondPlatnumz.