Burnaboy kaposti picha ya Harmonize

Burnaboy kaposti picha ya Harmonize

Mimi sitalewea chochote mpaka pale ambapo huyo dogo ataonyesha kimziki chochote (hâta kimoja tu) huyo aliyekuwa anamnyonya, vinginevyo ntawaona kama wafa maji tu ambao hamuishi kutapatapa.

Mwaka wa tatu huu tangu atoke kwenye mikono ya wanyonyaji sioni la maana.Tukiachana na swala la yéyé kushindanishwa na Naseeb, sidhani kuna mtu yoyote aneweza kuweka wazi ni kipi ambacho harmo anamzidi Vanny mpaka sasa.
Kuna mahali kasema alikua ananyonywa au fans ndio mnadai kanyonywa
 
Nasemaje nipe mkono...!
FB_IMG_16375661873040740.jpg
 
Mimi sitalewea chochote mpaka pale ambapo huyo dogo ataonyesha kimziki chochote (hâta kimoja tu) huyo aliyekuwa anamnyonya, vinginevyo ntawaona kama wafa maji tu ambao hamuishi kutapatapa.

Mwaka wa tatu huu tangu atoke kwenye mikono ya wanyonyaji sioni la maana.Tukiachana na swala la yéyé kushindanishwa na Naseeb, sidhani kuna mtu yoyote aneweza kuweka wazi ni kipi ambacho harmo anamzidi Vanny mpaka sasa.
Kwani ni lazima amzidi Vanny
 
Dhambi ya ubinafsi na tamaa haifichiki Kama moshi wa kuni

Kuna siku tu yale yote ya sirini yatakuwa hadharani

Diamond ni msanii mkubwa Afrika kila mtu analijua hilo na nyuma ya mafanikio yake kuna team kubwa ya watu inayoyawezesha hayo mafanikio yake

Cha ajabu chibu ni msanii wa kizazi kipya lakini ana mambo ya kizamani sana

Unaimiliki team Kama mfalme na vijakazi wake

Kufanikiwa ufanikiwe wewe tamaa na wivu uwaonee wenzio duu unawatumikisha wenzio utadhani ni watoto zako
 
its just matter of time mondi kesha kufa kimziki
 
Mimi sitalewea chochote mpaka pale ambapo huyo dogo ataonyesha kimziki chochote (hâta kimoja tu) huyo aliyekuwa anamnyonya, vinginevyo ntawaona kama wafa maji tu ambao hamuishi kutapatapa.

Mwaka wa tatu huu tangu atoke kwenye mikono ya wanyonyaji sioni la maana.Tukiachana na swala la yéyé kushindanishwa na Naseeb, sidhani kuna mtu yoyote aneweza kuweka wazi ni kipi ambacho harmo anamzidi Vanny mpaka sasa.
kwa hiyo na wewe ni level za konde. Duuuh! Mwenzako anatengeneza hela kila siku unasema hana la maana.

Zaidi ya RR ya Dai Ni Nini kingine cha kwake unakijua.

Pambania family yako mkuu. Haya mambo soma km burudani tu. Wale wote Harmonize na Diamond siyo wenzio kimaisha.

Otherwise unambie wewe ni Bakhresa au Mo et al
 
Kwa hizi akili, ukisikia harmonize basi unajua ana hela kuliko raia wote wasio waimba mziki? (Hata kama sio mimi) unataka kusema kwamba Tz hii kama sio MO au Bhakharesa basi hakuna anaewafika hao?😅

Sasa hapo kulikuwa na ulazima gani wa kumlinganisha na mimi?? Mlingamishe na Nassib tuone kama anamfika hâta kwa chochote.
 
Unaumia sana mkuu, kwani jamaa kasema uongo? Hapa tunawazungumzia Harmo na Dai, wewe unaleta personal issues[emoji28].

Tuambie Harmo kamzid kipi Mond? achana na maswala ya kusema hao sio level zetu.
Huyo ni yule dada msanii wa mmakonde
 
Unaumia sana mkuu, kwani jamaa kasema uongo? Hapa tunawazungumzia Harmo na Dai, wewe unaleta personal issues😅.

Tuambie Harmo kamzid kipi Mond? achana na maswala ya kusema hao sio level zetu.
Wewe Ni kipi ulichoorodhesha ambacho Dai kamzid Harmonize.

Na akimzidi hajamzidi wewe kimaisha inakusaidia nn.

Harmo na Dai siyo wenzako hata upayuke humu , utoke povu, koo likukauke haikusaidii. Hawakujui Wala hatakaa akusaidie chochote na hali yako mbaya.

Unamdharau Harmo , ukiwa hapo kijiweni mwenzio ana maisha bora na kesho yake na wanae anaijua.

Mimi ni shabiki wa muziki mzuri. Ninazo nyimbo km zote za Dai, Harmo, kiba, Rayvany, na wengine wengi. Mambo yao mengine siyajui, Ni maisha yao, wanajuana.

Mimi nitamchukia Nandy au Maua Sana, Dai kwa lipi. Mpaka nianze kumsema eti ana nini kumzidi fulani. UTOTO.

Pambana kwa kitu chenye impact kwa maisha yako.

Mziki mzuri hoyeeee
 
Back
Top Bottom