Burnaboy kaposti picha ya Harmonize

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii mkuu kabisa wa Africa Burnaboy amepigilia NCHUMALI kwenye bifu la wasanii wa Tz kwa kutupia picha ya msela wake Harmonize akionyesha dole la kati kwenda kwa msanii wa WCB dearmondiplatinumz.

Hali ishakuwa mbaya kwa msanii wetu wa Tandale huku davido anamdai hela ya kumtoa kisanii, kule Burnaboy anatupia picha ya Harmonize na dole la kati.

Hadi tunaenda mitamboni msanii Davido bado hajaonesha screenshot ya muamala toka kwa DiamondPlatnumz.

 
Mimi sitalewea chochote mpaka pale ambapo huyo dogo ataonyesha kimziki chochote (hâta kimoja tu) huyo aliyekuwa anamnyonya, vinginevyo ntawaona kama wafa maji tu ambao hamuishi kutapatapa.

Mwaka wa tatu huu tangu atoke kwenye mikono ya wanyonyaji sioni la maana.Tukiachana na swala la yéyé kushindanishwa na Naseeb, sidhani kuna mtu yoyote aneweza kuweka wazi ni kipi ambacho harmo anamzidi Vanny mpaka sasa.
 
Kuvaa mabati mengi shingoni, kula bange kwa sana ndio anavyomzidi Rayvan
 
Reactions: Qwy
Wabongo kwa kutafsirii [emoji23][emoji23]
 
Harmonize anasema mama yake anaishi maisha magumu

Ina maana maisha anayoishi yeye harmonize NI maigizo?
Kwanini asimsaidie mama yake Kama ana uwezo

Soma kwenye mistari mzee, anakwambia 500mln ingemfaa zaidi mama yake maana hakuna cha maana alichorudisha, japo kampa nyumba na gari.
 
acha kukuza mambo nawewe,wewe umejuaje kama hili finger la kati kaonyeshwa wcb!!!
Kwaiyo wewe interview ya harmonize hujaiona? Tumia akili usipende kutafuniwa kilakitu utafeli mitihani hivihivi.
 
soma kwenye mistari mzee,anakwambia 500mln ingemfaa zaidi mama yake maana hakuna cha maana alichorudisha,japo kampa nyumba na gari.
Amesema mwenyewe mama yake anaishi maisha magumu
Au Mimi ndo sijaelewa?
Na kuhusu milioni 500.. harmonize akumbuke wapi alipotoka.
hao wanaomsapoti Sasa hivi Kipindi anaanza hakuna aliyekuwa anamtaka.
HAKUNA MSAADA WA BURE
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…