Burning sensa: Yatakua ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe:arumeru

Burning sensa: Yatakua ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe:arumeru

mbisere

Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
12
Reaction score
2
NILIKOSA kazi ya kuhesabu kura, sasa nimekosa kazi ya sensa, sababu ni kukosa referee maana nina elimu ya shahada.sasa nimeamua kijipanga na kuanzisha chama cha marefaree kwaajili ya wanyonge kama mimi wenye elimu lakini wapo mtaani, huku arumeru urefaree ndo umewapatia watu kazi bila vigezo; WAMENIKUMBUSHA mambo aliyoya fanya ngoswe badala ya sensa akafuata mabinti kwasababu hajui umuhimu wa sensa,
 
Back
Top Bottom