darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Dec 12, 2018 #1 Timu inayoshiriki Ligi kuu Uingereza Bunley imeonyesha nia ya kumuongeza Mbwana Samatta kwenye safu yake ya ushambuliaji. Tayari imeshatuma watu kumfuatilia. Timu nyingine zinayotajwa ni West Ham na Everton. Huku Everton ikipewa nafasi zaidi kumpata ushambuliaji huyo Chanzo: African All Stars Transfer News & Rumours: PSG join race for Manchester United’s Eric Bailly – Just another WordPress site
Timu inayoshiriki Ligi kuu Uingereza Bunley imeonyesha nia ya kumuongeza Mbwana Samatta kwenye safu yake ya ushambuliaji. Tayari imeshatuma watu kumfuatilia. Timu nyingine zinayotajwa ni West Ham na Everton. Huku Everton ikipewa nafasi zaidi kumpata ushambuliaji huyo Chanzo: African All Stars Transfer News & Rumours: PSG join race for Manchester United’s Eric Bailly – Just another WordPress site
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Dec 12, 2018 #2 Kwa huu umri inabidi awe ameshaenda epl. Pray for him isivuke usajiri wa January
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Dec 13, 2018 #3 Huyu naye sijui kapigwa zongo ? mara Westham mara Burnley , si aende basi !
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Dec 13, 2018 #4 Hivi inabidi afanye nini ili aweze kuhitajiwa na man u, chelsea, liver, man cty na arsenal?