darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Timu inayoshiriki Ligi kuu Uingereza Bunley imeonyesha nia ya kumuongeza Mbwana Samatta kwenye safu yake ya ushambuliaji.
Tayari imeshatuma watu kumfuatilia.
Timu nyingine zinayotajwa ni West Ham na Everton. Huku Everton ikipewa nafasi zaidi kumpata ushambuliaji huyo
Chanzo: African All Stars Transfer News & Rumours: PSG join race for Manchester United’s Eric Bailly – Just another WordPress site