Burnout wimbo uliobamba na kuuza sana miaka ya 80 vijana wa zamani tukutane hapa

Burnout wimbo uliobamba na kuuza sana miaka ya 80 vijana wa zamani tukutane hapa

Fao La Kujitoa

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
396
Reaction score
966
Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma.

Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu.

Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha kwenye video mwenye umbo la kuvutia mrembo na maridadi sijui yuko wapi sasa hivi?

Vijana wa zamani wimbo huu wa burnout unakukumbusha wapi?

 
Back
Top Bottom