Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma.
Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu.
Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha kwenye video mwenye umbo la kuvutia mrembo na maridadi sijui yuko wapi sasa hivi?
Vijana wa zamani wimbo huu wa burnout unakukumbusha wapi?