GE2025 Burton Mwemba (Mwijaku) apishana na Baba Levo, achukua fomu ya ubunge jimbo la Mvomero

GE2025 Burton Mwemba (Mwijaku) apishana na Baba Levo, achukua fomu ya ubunge jimbo la Mvomero

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba maarufu Mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
1751192432363.png
 
1. Ni mzaliwa wa Mvomero?
2. Ana makazi mvomero?
3. Amewahi kuishi Mvomero ndani ya miaka 5 iliyopita?

Naona kama kanuni zinakinzana na nia yake
 
Unaishi tandika, umezaliwa Tandika, Umekulia tandika unaenda kugombea ubunge Singida.

Dawa, mishahara ya wabunge iwe laki tano tu. Na kusiwe na posho au posho 50,000 tu, na degree iwe minimum qualification afu tuone hao waigizaji kama watakuwepo.
 
Hizo laki Tano Tano makatibu wanakula za Bure wakati huu
 
Back
Top Bottom