burudani ya dufu

burudani ya dufu

Nipo hapa.
Dah umenikumbusha mbali sana. Ukikutana na wapiga dufu wazuri acha kabisa.
 
Halafu hawana gharama,ukishawawekea ubwabwa hata wa ndondo wanaridhika kabisa.
 
Back
Top Bottom