Burundi: Kwanini Viongozi wetu wakuu wameelekeza nguvu zao huko?

malang0

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
440
Reaction score
523
Leo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita.

Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu kuelekeza nguvu zao huko, je soko lao ni kubwa kuliko nchi nyingine za ukanda wa Maziwa Makuu?

Au ni sababu za kiusalama.
 
Kwaiyo ulitaka atembelee kwenu matombo
 
Kwani Burundi tunauza nini?
Hatuuzi litu kwasababu njia za mawasiliano kule ni duni barabara reli n.k ujinga wa viongozi kupeleka vipaumbepe kusiko sahihi. Inashangaza SGR ilikuwa inapelekwa kwa kagame nchi moja walati burundi kiuahilisia unakua umegusa mkoa wa kigoma na nchi ya DRC
 
Si kasema anataka kukuza uchumi kwanza umeshuka
Hapo anakuza au anauua mazima, alisema anataka wawekezaji wake huku sheria kandamizi zote hazijabadilishwa,kuongeza mikodi kila Kona ni mwekezaji gani unafikiri atarudi Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…