Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vitenge vya wax😀Soko kubwa la nini?
Hahah Kuna video 1 niliona rais wa Burundi Gen. Neva anamwambia rais M7 'you're like a father of our nation(Burundi)' jamaa mmoja akaandika aisee kale kajamaa kembamba karefu ka Ile nchi nyingine ya jirani mtakaua tu lkn maneno hayo hakawezi kumwambia mtu kamwe,Hahah.Ni kukuza mahusiano kati yetu, Rwanda anaogopwa yule jamaa naona katuzidi ujanja tumeona bora tumkimbie tu.
Wala Hana ujanja wowote ila si mtu mzuri tu mr SlimNi kukuza mahusiano kati yetu, Rwanda anaogopwa yule jamaa naona katuzidi ujanja tumeona bora tumkimbie tu.
Unajua maana ya soko ngoja nikupe maana ambayo sio common sana kwa walio wengi.Burundi ni Soko kubwa la Nini? Maana usiandike kama unawasimulia watu wa kijiweni. BURUNDI NI SOKO KUBWA LA NINI?
Walisaidia sana wakati wa uchaguzi. We hujui tu.Leo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita.
Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu kuelekeza nguvu zao huko, je soko lao ni kubwa kuliko nchi nyingine za ukanda wa Maziwa Makuu?
Au ni sababu za kiusalama.
Kwaiyo ulitaka atembelee kwenu matombo
ndiyo maana?Walisaidia sana wakati wa uchaguzi. We hujui tu.
Unataka twende kwenu RwandaLeo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita.
Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu kuelekeza nguvu zao huko, je soko lao ni kubwa kuliko nchi nyingine za ukanda wa Maziwa Makuu?
Au ni sababu za kiusalama.
borawewe umesema maana kuna vilaza humu ndani wao mawazo yao yamehamia kwenye tozo mp-ya tuuuNi ujinga tu wa viongozi waliopita kushindwa kuufungua mkoa wa kigoma. Vinginevyo burundi ni soko kubwa sana na nirahisi kuingia kule tofauti na nchi kama rwanda na uganda.
sasa je. huo urafiki umetikana na.makubaliano ya mwendazake na Evaristndiyo maana?
Kwenye hoja hii nimekuelewaNi ujinga tu wa viongozi waliopita kushindwa kuufungua mkoa wa kigoma. Vinginevyo burundi ni soko kubwa sana na nirahisi kuingia kule tofauti na nchi kama rwanda na uganda.
Labda wanaenda kununua mafuta, maana Burundi 🇧🇮 yako chini kidogoLeo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita.
Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu kuelekeza nguvu zao huko, je soko lao ni kubwa kuliko nchi nyingine za ukanda wa Maziwa Makuu?
Au ni sababu za kiusalama.
Diplomasia ya kiuchumi Ni vizuri mama atembelee jirani zakeLeo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita.
Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu kuelekeza nguvu zao huko, je soko lao ni kubwa kuliko nchi nyingine za ukanda wa Maziwa Makuu?
Au ni sababu za kiusalama.
mkuu umevunja mbavu zangu.Kwa tozo hizi ni bora Mungu atutendee miujiza tena
Njoo na takwimu Burundi anapitisha Tani ngapi za mizigo Bandari ya Dar kwa mwaka ukilinganisha na nchi majirani Kama RWANDA, ZAMBIA, MALAWI NA CONGO.Cariha, Burundi ni muhimu sana kwetu, katika nchi za Afrika Tanzania ni nchi ya kwanza ambayo Burundi inatutegemea katika mahitaji na ni nchi ya 5 katika mfululizo wa nchi zinazotegemewa na Burundi. Angalia mtiririko huu;
1. China
2. Saudia
3. India
4. UAE
5. Tanzania
Hivyo ni mdau muhimu na anafaa kupewa ushirikiano ili kudumisha biashara baina yetu.
Biblia inasema "shika sana ulicho nacho"
Tunapenda kubeza kila kitu, anachofanya raisi katiks hili ni sahihi, hili la miamala sisi ndio tunatakiwa kuonyesha kuwa tumekerwa...tuweke migomo au tuandamane.
Sio kila kitu tusubiri tamko, wao wanafurahia kwani tozo litatimiza malengo yao ya kisiasa. Katika hili kuna wanasiasa watafikia malengo yao aidha positive au negative kama ifuatavyo:
1. Huenda washauri wa raisi wanalenga kumkwamusha, hivyo mambo yakienda kombo watakuwa wamefanikiawa au
2. Endapo raisi na serikali wakalisimamia hili vizuri na mambo yakabamba basi kwa matokeo chanya atakuwa amejiweka nafasi muhimu.
Tuchukue hatua sisi au tusubiri matokeo ni juu yetu.
Mshauri wake ni yule wa awamu ya nne unakumbuka naye alikuwa mbobezi wa kuwa hewani kila wakatiHivi ni nani huyu anayemtuma sana rais wetu safari nyingi nyingi za ndani na za nje? Frequently, Dom to Dar, Uganda, then Burundi, ni kweli ni utashi wa rais wetu kusafiri kiasi hiki, au kuna mtu anamwagiza!
BURUNDI KUNA SOKO LA NINI? KWA NINI USIJIBU UNAZUNGUSHA ZUNGUSHA TU MKIA?Unajua maana ya soko ngoja nikupe maana ambayo sio common sana kwa walio wengi.
A geographical area where a certain commercial demand exists. Sasa kama unaona wanaagiza bidhaa fulani kutoka nchi zingine na wana pitishia nchini mwako bidhaa hizo kupitia bandari yako huoni huko kuna soko ila ni akili mgando tu zimegoma namna ya kupeleka bidhaa zinazo hitajika huko?