SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kupata mbinu za kuwa dikteta mzuriLeo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita.
Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu kuelekeza nguvu zao huko, je soko lao ni kubwa kuliko nchi nyingine za ukanda wa Maziwa Makuu?
Au ni sababu za kiusalama.
Kwa uchumi gani ilionao?Unashangaa nini Burundi kutopitishia mizigo yao mingi Tanzania? Mkoa wa Kigoma ungekuwa umefunguliwa na kuwa na miundombinu rafiki kutoka Dar, mizigo mingi ya Burundi ingepitia Tanzania.
Vv
Kwa uchumi iko vzr tu maana wao ndio supplier wakuu wa vibarua vya kulima mashamba huko Kigoma.Burundi Burundi watanzania wengi wa Kigoma wanauhusiano na watu wa Burundi kama makamu wa Rais na viongozi wengi waliopita awamu iliyopita. Kuna undugu wa karibu ila Burundi kiuchumi sijui hili halipo wazi wenye data atuletee hapa.
Mkwere styleMama anakwepa homa ya tozo mpya, huko Burundi Bora angebaki ashughulikie uchumi aisee
Dah we jamaa sometimes Yes sometimes Noo kabisa. Anyway kwa kuwa we dare to talk openly, then let's go.
Huyo jamaa nadhani naye dishi limeyumba kama tundu lisu, siyo bure. Hakuna chochote cha maana anachopost cha kuisaidia chadema, asipokopi na kupaste mawazo ya wengine, basi atamshambulia marehemu, hata kwa kupost uongo wa kutunga!Ebu tuondolee upuuz wako humu..unapambana na mtu asiekuwepo!! Huna akil kabisaaa...
Yaani Burundi itupe msaada wakati inapumulia mashine za Tanzania na Rais wao akitaka kutoka nje ya Burundi hana uhakika wa kurudi madarakani mpaka Tanzania imuhakikishie.#Propaganda mafiii.
Kuna zaidi ya kupeana likes hapa JF.Kuna maisha nje ya social networks, si kila upumbavu unaokujia kichwani lazima uuandike humu. Mkikamatwa kwa uzushi na uchochezi mnaanza kulialia!
Usimpangie Rais na team yake Cha kufanya, we nenda kwenye kaburi la mungu wenu wa chattlee ukagalegaleInashangaza sana mkuu,
Viongozi wa nchi kwenda nje zaidi kuliko kutembelea wananchi wao....