Burundi: Kwanini Viongozi wetu wakuu wameelekeza nguvu zao huko?

Kupata uungwaji mkono namna ya kufanya udikiteita
 
🤣🤣🤣 ,kwani yule kashrudi kutoka Morocco ?,yani ni vituko kila sehemu...Yani bajeti imepita tu watu wamekimbia,,ntampa waziri wa Fedha sifa hii,amejitahidi kuface wananchi japo majibu yake ni ya kijinga,,,
Aliyekwenda Morocco kukumbushia ahadi ya kujengewa Dodoma uwanja 2016, na Mfalme labda hajarudi......tusubiri mrejesho.. kazi iendelee.
 
Ndio nchi rahisi kutembelea na pia viongozi wetu wanapata nafasi ya kuzungumza Kiswahili.
 
Burundi ni ka mkoa wa Tanzania. Karibia kila kiwanda cha Tanzania kinauza Burundi. Halafu wapo very friendly kwa watanzania. Na mimi naenda huko wiki ijayo. Ni rahisi sana kuwekeza Burundi kuliko nchi zote, including Tanzania.
Maza kashaona reality .alitoka nduki kwenda Nairobi bila kutuaga huku tukiwa na secret knowledge .wakenya ni wa Kula nao huku ukiangalia mikono Yao. Burundi na udogo wao ni true friends . Kati ya wanaokuzunguka nadhani wanafuatiwa na waganda .wengine wote ni nyoko.
 
Aliyekwenda Morocco kukumbushia ahadi ya kujengewa Dodoma uwanja 2016, na Mfalme labda hajarudi......tusubiri mrejesho.. kazi iendelee.
Niliona akionyeshwa viwanja vyao nahsi wameamua wamuonyeshe how is done badala ya kujimatonya mchana kweupe ukijua ni Dona kantri 😇
 
Niliona akionyeshwa viwanja vyao nahsi wameamua wamuonyeshe how is done badala ya kujimatonya mchana kweupe ukijua ni Dona kantri 😇
Sasa si wanategemea kupata pesa nyingi za tozo na kodi kibao, wajenge huo uwanja kwa pesa hiyo badala ya kutaka vya bure..... kazi iendelee.
 
Ni ujinga tu wa viongozi waliopita kushindwa kuufungua mkoa wa kigoma. Vinginevyo burundi ni soko kubwa sana na nirahisi kuingia kule tofauti na nchi kama rwanda na uganda.
Nchi iliyovurugika kwann isiwe rahisi
Unatarajia Rwanda iliyotulia muingie hovyohovyo tu

Kipenzi chetu magufuli alianza kwakishindo na Rwanda jiulize tuliishia wapi

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mimi niko nafanya mishe zangu huku Burundi, ni nchi ambayo kwa sasa inategemea kila kitu kutoka Tanzania. Tunafanya biashara kubwa sana nao, ndio nchi pekee niliyofika na kuona mtanzania unaheshimika sana kuzudi hata watu wa magharibi. Nikienda popote pale nikisema mimi ni mtanzania, sisumbuliwi napata huduma faster na kuondoka. Muda mwingine ikiwa natembea usiku napewa na escort ya police nifike ninakoenda salama. Fursa nyingi sana wandugu, hawa ni ndugu zetu .
 
Nchi iliyovurugika kwann isiwe rahisi
Unatarajia Rwanda iliyotulia muingie hovyohovyo tu

Kipenzi chetu magufuli alianza kwakishindo na Rwanda jiulize tuliishia wapi

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Sasa huyo kipenzi chenu haku calculate ugumu wa kuingia rwanda?
 
Wataftie ajira wadogo zetu walimu wakiswahili

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Sasa huyo kipenzi chenu haku calculate ugumu wa kuingia rwanda?
Ujirani wakifamilia ulitumika badala ya diplomasia ya uchumi.....dhamira ikagongwa nakitu kizito ghafla ikapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…