Burundi leader Nkurunziza died of Covid-19 β€” diplomats

Kuna mmoja huku kwetu ana kikohozi kisichoisha
Covid ina macho na masikio wajameni
Kifo hiki lakini kha! First Lady alirudi Nairobi au anaendelea kujiuguza?!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ First Lady bado ni in patient. Inaelekea maambukizi yalimchapa kisawasawa. Bibi amerudisha namba.
 
Wewe hutaenda unapostahili? Fanya vyovyote kifo kiko palepale,
Utakufa kwaugonjwa, ajali hata umri. Kwani wewe unaejihisi ni mwenye haki, hufi? Usihukumu
Unaelewa unacho andika ama Uko 'Out of Your control?" , Kwani kifo kikiwepo na kuwa kila mtu atakufa ndio Sababu ya kumpangia MUNGU amuweke wapi Marehemu?,
Kwa akili zako timamu Udhani MUNGU anaweka watu sehemu kwa kufuata WISH za watu?. Kweli Madhara ya matango pori yametamalaki vichwani na Mioyoni mwa Bin-Adam.
 
Ndio ukweli huo dikteta kapitiwa na Deportivo[emoji3]
 
Hahaha Boris alileta ujuaji wake alipigwa pigo 1 tu akajikuta yuko ICU analishwa uji wa motoooooo,mpk leo jamaa anamheshimu bwn. Covid hatari.
 

Makwetu hii kitu huitwa changamoto za kupumua.

Kikwetu kwetu Corona haiuwi bali ni kaupepo tu kanakopita.
 
Ni mwaka huu huu tuliambiwa Kim amekufa Korea wanaficha halafu ghafla akaibuka na kuwaumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…