Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hopeless!Uwasilishaji wako wa maoni unaoneaha dhahiri kuwa ni mtu mwenye mfadhaiko wa kimaono,
View attachment 2663083
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hopeless!Uwasilishaji wako wa maoni unaoneaha dhahiri kuwa ni mtu mwenye mfadhaiko wa kimaono,
View attachment 2663083
Hajaitwa kwenye hicho kikosi kutokana na utovu wake wa nidhamu.Vipi mchezaji wa mechi mbili goli atakuwepo?!
HUNA AKILI.Hopeless!
Watu wenye msongo wa mawazo na pia matatizo ya afya ya akili mnaitumia jamii forums kama kichaka chenu vile cha matibabu kwa kutukana watu hovyo tu.HUNA AKILI.
Timu yao wanaita vijana zaidi wenye msaada.Vipi mchezaji wa mechi mbili goli atakuwepo?!
Wanajenga timu kwa ajili ya baadae,wastaafu hapanaDah Burundi wamechemka, wasingemuacha mfungaji bora wa NBC hata mimi ningekuja uwanjani kuona duel ya Saidoo na Shelulile.