Burundi yafuzu yatutangulia Afcon kesho Stars nayo kuungana na Burundi, East Africa hoyee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Burundi leo iimetoka sare ya 1 - 1 na Gabon na hivyo kufuzu kwa fainali za Afcon huko Misri.

Taifa Stars itashinda kesho na hivyo kuungana na Uganda na Burundi kwa safari ya Misri.

Source ITV habari!
 
Burundi leo iimetoka sare ya 1 - 1 na Gabon na hivyo kufuzu kwa fainali
za Afcon huko Misri.

Taifa Stars itashinda kesho na hivyo kuungana na Uganda na Burundi kwa safari ya Misri.

Source ITV habari!
Kwani kesho The Cranes ya Uganda haichezi?
 
Caf walibadilisha utaratibu jumla wa kufuzu afcon 2019. Na kuongeza idadi ya washiriki ndio maana nchi nyingi na ambazo hazina majina zimepita. Sisi tumekumbuka mwishoni kuisupport Taifa Stars. Kusema kweli haikuwa kwenye kundi gumu ilitakiwa leo tuwe tumekwisha fuzu. Yote kwa yote tujifunze mechi zoote muhimu kuanzia ya kwanza hadi mwisho. Kesho ni hamsini kwa hamsini Taifa Stars ikishinda bado itasubiria matokeo kati Lesotho na Capeverde.. ikiombea lesotho afungwe au atoe sare. Utaona hapo kuna makosa tuliyafanya mwanzo.
 
mkuu samahani, hivi afcon kwa sasa zitashiriki team ngapi? maana kama afrika mashariki tu team 3 now na Tanzania inadaiwa yaweza fuzu hapo kesho, mbona tanzania hatukuwahi kushinda mechi zaidi ya mbili mfululizo.. na tunapeta tu ama hapo mambo yapoje.
 
Kaka isije ikawa mbaya kwetu kulingana na matokeo ya lesoto na cape verde. Maana watanzania tumeaminishwa sana kwamba kesho tunafuzu bila kusema ukweli juu ya matokeo ya wenzetu tulionao kundi 1.

Kama ikitokea kwa baati mbaya tukakosa nafasi kulingana na matokeo ya cape na lesotto basi majuto yatakuja kwenye mechi tuliopoteza dhidi ya lesoto.
 
24.
 
Kila la heri Cape Verde ama Lesotho!!
Kila laheri stars
Hii chai aionje Bashite kwanza ajue ladha yake then sisi ndio tutakunywa

Sent using Jamii Forums mobile app
Burundi leo iimetoka sare ya 1 - 1 na Gabon na hivyo kufuzu kwa fainali za Afcon huko Misri.

Taifa Stars itashinda kesho na hivyo kuungana na Uganda na Burundi kwa safari ya Misri.

Source ITV habari!
For the first time in the history we qualified in the Africa cup of the nation wa Bongo msijali we will represent you as a member of East Africa bado kiwango cenu ca mpira kipo down saaana #Proud to be Burundian[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuto sio kwa mechi tuliyopoteza bali majuto yapo kwenye ile mechi tuliyotoa sare kule azam complex dhidi ya Lesotho, ilibidi kila mtu ashinde kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…