Bus aina ya Eicher zinauzwa bei gani?

Bus aina ya Eicher zinauzwa bei gani?

Je TATA Marcopolo?

Anyway, niliwahi kusikia unalipa upfront Tshs 32Mil then unawepelekea Tshs 2.1Mil kila mwezi x 18months.

Duh..! km nihivyo mbona ni GHALI sana siafadhali ukanunue YUTONG..!
 
Acha kuwadanganya watu na hizo zikizoko barabarani ziinatembea kila siku nyingi tu za Islam mwaka wq nne huu anapiga ruti ya dar moro dar iringa na huu ndo ujinga mnaodanganyana Watz na kulishana sumu hata na kwenye magari mengine mmezoea Toyota tuu

zile gari za Islam usizione vile.Nje ndio zina body ya eicher lakini engine na kila kitu chake ni Isuzu forward.!!.Hata mngurumo wake wa engine tofauti na hizi eicher.Kiufup Eicher zinachemsha balaa hasa kwa safari ndefu.
 
Nakubaliana na wewe,pia hizo gari ni chovu kwa safari ndefu bei yake ni 80m nenda pale posta km upo dar opposite holiday inn
 
kiukweli eicher sio gari kabisa kama unataka kufanya biashara ya daladala kuna dcm halichoki
Mkuu niaje, nilikuwa nasoma soma hapa nkaona thread yako apa, naomba unibeep kwenye namba yangu ili tuwasiliane kuhusu wapi pakuzipata hizi gari aina ya DCM kwa Dar es salaam. Namba yangu ni 0753122225. Ahsante.
 
Back
Top Bottom