Bus gani zuri (Luxury) kuelekea Iringa

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Wadau ninaomba msaada wenu, nina safari ya Iringa natarajia kutumia usafiri wa Bus, hivyo basi ninaomba ushauri wenu nipande Bus gani ambalo ni luxury (full ac, siti zisizobanana, charger USB Port), pamoja na huduma nzuri.

Ninatoka Dar es Salaam
 
Unatokea wapi mbona haujasema? Au tu assume itakuwa dar?
Kama upo Dodoma panda kimbinyiko.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Ninatokea Dar es Salaam, Asante. Kimbinyiko wanayo ya kutoka dar to Iringa?
 
Sina uhakika. Wana Dodoma dar na Dodoma mbeya ambayo haya ya mbeya ndiyo yanapita Iringa.
Labda utembelee website yao mkuu.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
for now iringa hakuna gari ya LUXURY BUS zipo SEMI LUXURY na mengi ni ordinary

ukitaka LUXURY basi itakulazimu upande gari za mbeya 'DAR LUX' ambao wana luxury utashuka iringa
 
Asante mkuu
 
Panda tren

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…