The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Wadau ninaomba msaada wenu, nina safari ya Iringa natarajia kutumia usafiri wa Bus, hivyo basi ninaomba ushauri wenu nipande Bus gani ambalo ni luxury (full ac, siti zisizobanana, charger USB Port), pamoja na huduma nzuri.
Ninatoka Dar es Salaam
Ninatoka Dar es Salaam