rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall
Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna eliyekufa katika hiyo ajali?Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall
Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
Yule jamaa sijui alipotolea wapi [emoji23][emoji23]Umenikumbusha breaking news za wa kukurupuka, hahaha
Kama picha huna unafanya nini hapa? Lier!Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall
Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
Samora Avenue na Morogoro road junction. J mall iko jirani na PSSSF TOWER. Ukitoka mnara wa askari kuelekea station kwenye mataa kushoto.JMall ipo wapi?
Kuna picha inaonesha na Range Rover imehusika au mmeitoa makusudi?Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall
Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
Jumapili ni Siku ya Yesu kufufuka hakuna anayekufa Kwa ajali jumapili ajali nyingi watu hufa ijumaa Siku wanayosali waislamuHakuna aliyekufa katika hiyo ajali?
Udini ni mbaya sana.Jumapili ni Siku ya Yesu kufufuka hakuna anayekufa Kwa ajali jumapili ajali nyingi watu hufa ijumaa Siku wanayosali waislamu
Sio udini mkurugenzi, Huo Ni uwehuUdini ni mbaya sana.
Kabisa, nmeshangaa sana mambo ya ukristo na uislam yameingiaje.Sio udini mkurugenzi, Huo Ni uwehu
Naona maombi yamekukolea kijana.Jumapili ni Siku ya Yesu kufufuka hakuna anayekufa Kwa ajali jumapili ajali nyingi watu hufa ijumaa Siku wanayosali waislamu