Bus la Yanga ni TATA. Utopolo acheni kutaka sifa zisizokuwa zenu

Bus la Yanga ni TATA. Utopolo acheni kutaka sifa zisizokuwa zenu

Tungeona hata bajaji iliyonunuliwa na Mudi kabla ya kulisema Tata
 
Basi la Simba

View attachment 1852608

View attachment 1852610

Basi la Yanga

View attachment 1852611

View attachment 1852613

haya semen kampuni ipi imemuiga mwenzie Je SIKANIA HIRIZI amemuiga TATA au [emoji28][emoji28] SCANIA akatoa new model inafanana na TATA

Ila SCANIA nao wana machejo yaan Gari lanYanga ukiwa mbali unaiona ni SCANIA HIRIZI ila ukiwa sogea karibu linakuwa TATA[emoji28][emoji28]

halafu hivi hizi team haya magari wamenunua au bure maana yote yanafanana na kulipamba Azam anafanya bure au maana naona ndan vitambaa tu kama Simba
Nini kimekufanya uamini ni TATA mkuu? Kwa hizi picha me sioni mahali panaonyesha ni TATA
 
Hii timu inaendeshwa kihuni sana. Halafu mashabiki wala hawashtuki propaganda za Hersi na GSM. Kama fans hawatakaa hizi propaganda Simba itabaki bingwa miaka 10.

Hawa wanatakiwa wahojiwe kuhusu ligi iliyoisha na uongo walioambiwa mpaka. Ghafla wamebadilika sasa wanawaaminisha shabiki ubingwa umekosekana kwa sababu ya TFF,wkati kila mtu anaona magarasa waliyosajili
 
Bila TF,,,, simba ni timu nyepesi sana,sii umeona wakiwepo marais kinacho wapata?
 
Kudadeki Minyani hata yadanganywe kuwa Yanga wamenunua Meli ya kuendea Zanzibar kucheza Bonanza la Mapinduzi Cup basi yataamini.

Yani Wachambuzi wao takataka wamewapostia basi la Kampuni ya HUNTER LUXURY inayomiliki Mabasi ya KUNEED HUNTERS na kuwaambia eti ni Basi la Yanga yani yameamini kama Minyumbu na Kuanza kujitangazia kuwa Basi lao ni Scania.

Yani Mijishabiki ya Yanga Mibogus, Mipuuzi, Mijinga, Mimwehu, Hayana akili, Mipumbavu yanayodanganywa Ovyo kabisa.
 
Utofauti wa simba na Yanga upo clear kabisa, Yanga kauza media rights zake kwa Azam TV kwa Bilion 40 kwa muda wa miaka 10 tu, ila simba kauza timu na kila kitu chake kwa Bilion 20 tena milele na hakuna kipengele cha kurudisha pesa kwa mnunuzi
 
Nini kimekufanya uamini ni TATA mkuu? Kwa hizi picha me sioni mahali panaonyesha ni TATA

basi angalia mwenyewe mkuu na pia sina utaalam wa aina za magari makubwa .. utanipa mrejesho
 
basi angalia mwenyewe mkuu na pia sina utaalam wa aina za magari makubwa .. utanipa mrejesho
Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
Basi hilo ambalo tayari limetoka band..
Soma zaidi hapa : Yanga kama Real Madrid tu
 
Umeumia na fuso lenu la mudi

Akili za mbumbumbu ndio hizi
 
Saa hizi wako kwenye tambo ya kikosi cha mwaka kesho, ni kelele kila sehemu kwamba mwaka kesho watakua na kikosi hatari sana... huwa najiuliza hawa Utopolo huwa wanatumia nini kufikiri manake mwaka wa nne huu kila usajili wanapiga kelele tu ikifika mwisho wa mwaka hawana ubingwa.
 
Back
Top Bottom