Akili za tata iziMkuu kuwa na choo tu ndiyo kigezo cha kuwa la kisasa , mbona hata wewe unatembea na choo ndani wakati siyo wa kisasa.
Nini kimekufanya uamini ni TATA mkuu? Kwa hizi picha me sioni mahali panaonyesha ni TATABasi la Simba
View attachment 1852608
View attachment 1852610
Basi la Yanga
View attachment 1852611
View attachment 1852613
haya semen kampuni ipi imemuiga mwenzie Je SIKANIA HIRIZI amemuiga TATA au [emoji28][emoji28] SCANIA akatoa new model inafanana na TATA
Ila SCANIA nao wana machejo yaan Gari lanYanga ukiwa mbali unaiona ni SCANIA HIRIZI ila ukiwa sogea karibu linakuwa TATA[emoji28][emoji28]
halafu hivi hizi team haya magari wamenunua au bure maana yote yanafanana na kulipamba Azam anafanya bure au maana naona ndan vitambaa tu kama Simba
Bila TF,,,, simba ni timu nyepesi sana,sii umeona wakiwepo marais kinacho wapata?Hii timu inaendeshwa kihuni sana. Halafu mashabiki wala hawashtuki propaganda za Hersi na GSM. Kama fans hawatakaa hizi propaganda Simba itabaki bingwa miaka 10.
Hawa wanatakiwa wahojiwe kuhusu ligi iliyoisha na uongo walioambiwa mpaka. Ghafla wamebadilika sasa wanawaaminisha shabiki ubingwa umekosekana kwa sababu ya TFF,wkati kila mtu anaona magarasa waliyosajili
tumia akili tujadili mambo ya msingi. Hii Simba ndio unawafanya mkashiriki CAF. TFF inaweza kuibeba mpaka kuwa timu ya #13 ranking za CAF? acha ushabiki wa kipuuziBila TF,,,, simba ni timu nyepesi sana,sii umeona wakiwepo marais kinacho wapata?
Bila TF,,,, simba ni timu nyepesi sana,sii umeona wakiwepo marais kinacho wapata?
Asante,,uchizi siyo kuokota makopo jalalani tu, hata kutukana hovyo ni ukichaa pia,Kwa kiwango hicho cha Upuuzi ulichonacho hata Mke wako anaweza kubong'olewa ikisha ukasema Basha aliyembong'oa kasaidiwa na TFF.
Kwahiyo hujui simba ndo anasaidiwa na TFF ili abong'olewe vizuriKwa kiwango hichi cha Upuuzi ulichonacho hata Mke wako anaweza kubong'olewa ikisha ukasema Basha aliyembong'oa kasaidiwa na TFF.
Nini kimekufanya uamini ni TATA mkuu? Kwa hizi picha me sioni mahali panaonyesha ni TATA
Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
basi angalia mwenyewe mkuu na pia sina utaalam wa aina za magari makubwa .. utanipa mrejesho