Una wivu flan hivi kama wa demuKudadeki Minyani hata yadanganywe kuwa Yanga wamenunua Meli ya kuendea Zanzibar kucheza Bonanza la Mapinduzi Cup basi yataamini.
Yani Wachambuzi wao takataka wamewapostia basi la Kampuni ya HUNTER LUXURY inayomiliki Mabasi ya KUNEEL HUNTERS na kuwaambia eti ni Basi la Yanga basi yameamini kama Minyumbu na Kuanza kujitangazia kuwa Basi lao ni Scania.
Yani Mijishabiki ya Yanga Mibogus, Mipuuzi, Mijinga, Mimwehu, Hayana akili, Mipumbavu yanayodanganywa Ovyo kabisa.
Tambo zinatokana na Manji karudi + GSM + Dangote + Bilionea wa SingidaSaa hizi wako kwenye tambo ya kikosi cha mwaka kesho, ni kelele kila sehemu kwamba mwaka kesho watakua na kikosi hatari sana... huwa najiuliza hawa Utopolo huwa wanatumia nini kufikiri manake mwaka wa nne huu kila usajili wanapiga kelele tu ikifika mwisho wa mwaka hawana ubingwa.
Mwaka wa nne huu mnapiga tu kelele, mpira ungekua pesa tu peke yake AZAM angekuwa ameisha chukua ubungwa hapa kati kati.. lazima mjenge tim kwanza ndio mtapata ubingwa sio tu pesa UtopoloTambo zinatokana na Manji karudi + GSM + Dangote + Bilionea wa Singida
Huu muziki usipime .... Sisi tuna watu!!
Teh, hadi babra kawehuka, anataka kufumua mfumo wenu wa uendeshaji club
Wanatumia kijambioSaa hizi wako kwenye tambo ya kikosi cha mwaka kesho, ni kelele kila sehemu kwamba mwaka kesho watakua na kikosi hatari sana... huwa najiuliza hawa Utopolo huwa wanatumia nini kufikiri manake mwaka wa nne huu kila usajili wanapiga kelele tu ikifika mwisho wa mwaka hawana ubingwa.
Mwaka wa tano huu mikelele yao ya next season inachosha sasaSaa hizi wako kwenye tambo ya kikosi cha mwaka kesho, ni kelele kila sehemu kwamba mwaka kesho watakua na kikosi hatari sana... huwa najiuliza hawa Utopolo huwa wanatumia nini kufikiri manake mwaka wa nne huu kila usajili wanapiga kelele tu ikifika mwisho wa mwaka hawana ubingwa.
Utofauti wa simba na Yanga upo clear kabisa, Yanga kauza media rights zake kwa Azam TV kwa Bilion 40 kwa muda wa miaka 10 tu, ila simba kauza timu na kila kitu chake kwa Bilion 20 tena milele na hakuna kipengele cha kurudisha pesa kwa mnunuzi
Mkia fc mnateseka
Tambo zinatokana na Manji karudi + GSM + Dangote + Bilionea wa Singida
Huu muziki usipime .... Sisi tuna watu!!
Teh, hadi babra kawehuka, anataka kufumua mfumo wenu wa uendeshaji club
shughulisha akili kidogo bro. itakusaidia sana kutolishwa propagandaBaada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
Basi hilo ambalo tayari limetoka band..
Soma zaidi hapa : Yanga kama Real Madrid tu
Na ndio maa mi nasema vpl ni ligi tamu zaidi duniani.Hata upuuzi huku ni burudaniSababu kuna muda naona tunabishania vitu ambavyo havina hata msingi.