Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Sauli ni kampuni inayomilikiwa na bilionea Mtanzania pande za chunya Mbeya. Hapa kati baadhi ya gari zake muhimu zilipotea ghafla tu akibakiwa na gari nne tu lakini bado anajitahidi.
Dereva wake wako makini sana licha ya mwendo wanaotembea. Si rahisi kusikia kampuni hii madereva wakiangusha gari kama ilivyo New Force. Ndio sababu ina mashabiki wake àmbao huwaambii kitu. Ni matumaini yangu gari zake zingine zitarudi na kuanza kazi mara moja