version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Sauli ni basi na nusu, nilienda nalo mbeya safari ile ilikuwa Safi sana, chuma imechoka kiasi lakini inavopangua Michina mipya kama imesimama..
Wakati wakurudi naenda kukata tiketi nakuta siku tatu mbele chuma imejaa..ikabisi nipande mchina new force basi njiani naona dereva wa new force alijitahidi kupambana sana ila mwisho wa siku sauli ni sauli tu.
Roho iliniuma naona chuma inapotea hiyoooo kama mmesimama.
Hongera zao Sauli