Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Nauli kwenda mbeya ni shs ngapu
Nimeshindwa kupanda gari zake kutokana na mwendo kasi wao.
Gari zinakimbia utasema Bombadia za Magufuli [emoji119]
Sauli ni unyama sana
Ule mwendo nauogopa aiseeMkuu wale wanakimbia usipime over take zake ni za timing Kali na wako makin
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] marketing manager umetumwa kupima upepo siyo?
Ule mwendo nauogopa aisee
Bora kupanda Alsaedy tu ndiyo wana mwendo rafiki.
Nauli kwenda mbeya ni shs ngapu
Ni kweli kukaa nyuma ya Malori huwa ni risk sana pale Kitonga.Nakukumbusha utamu wa sauli upo kitonga dar to mbeya unavorud ye hakai nyuma ya malori eneo lile ni hatar ye anaunga moja kwa moja kukaa nyuma ya malori kitonga ni hatar sana