version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Sauli ni basi na nusu, nilienda nalo mbeya safari ile ilikuwa Safi sana, chuma imechoka kiasi lakini inavopangua Michina mipya kama imesimama..
Wakati wakurudi naenda kukata tiketi nakuta siku tatu mbele chuma imejaa..ikabisi nipande mchina new force basi njiani naona dereva wa new force alijitahidi kupambana sana ila mwisho wa siku sauli ni sauli tu.
Roho iliniuma naona chuma inapotea hiyoooo kama mmesimama.
Hongera zao Sauli
hivi zile sauli scania marcopolo mbna siku hizi hazipo au ndo ashaziuza?
Mnazi WA sauli wewe... Wambie Ajitahidi aangushe hata gari mbili tu. Nyingine zotajinunua zenyewe
ashafilisika yule magari mengne yamekamatwa na bank kisa madeni
Haiitwi sauli, inaitwa "muache aende"
Multiple ID
Unaanzisha mada unajijibu na ID nyingine
Haya tuma salamu kwa watu watatuMkuu nisamehe kama nimekukwaza ,mwenye ID yake nae anisamehe maana nimekuwa mbele kujibu mada ni sababu thread aliyoanzisha imenikosha maana na Mimi ni mnaz wa sauli muanzisha Uzi wala hajijibu
Haya tuma salamu kwa watu watatu
Gari ishachoka ile, soon atapaki zote.
Kuna bus mpya, kina Achimwene gari safi, huduma nzuri ipo kasi na haijachoka kama sauli.
Mwendo mkali ni hatari. Lama wanakimbia sana basi ni suala la muda tu kuna siku wata watalia. Nashangaa mpaka karne hii kuna malimbukeni bado wanashabikia mabasi yanayokimbia kupitiliza.Mkuu wale wanakimbia usipime over take zake ni za timing Kali na wako makin
Humjui vzuri boss wa sauli. Hajafilisika. Sema magu alimtungisha kidogoashafilisika yule magari mengne yamekamatwa na bank kisa madeni