Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Guys, nina safari hivi karibuni, nataka kufika CHUO CHA SUKARI CHA TAIFA(NSI) kutokea Dar-es-salaam. Hivyo napenda kufahamishwa Kiasi cha nauli na mabasi gani mazuri na ambayo yanaweza kunifikisha NSI bila shida maana mimi ni mgeni maeneo hayo.
Na ningependa kufahamishwa kuhusu haya Mabasi kwa wanayoyafahamua "MOROBEST" na KIDINILO sijui ndo zinafikaga huko NSI..!!
Karibuni..
Na ningependa kufahamishwa kuhusu haya Mabasi kwa wanayoyafahamua "MOROBEST" na KIDINILO sijui ndo zinafikaga huko NSI..!!
Karibuni..